BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Uganda yafungua tena majukwaa ya mitandao ya kijamii
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerubaga awasifu Waganda kama watu bora zaidi duniani.
Jenerali wa kijeshi wa China ambaye serikali ina wasiwasi naye
Wizara ya Ulinzi ya China imesema imeanzisha uchunguzi dhidi ya Jenerali wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini humo, ikimtuhumu kwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu na sheria."
Je, Urusi na China zinanufaika na juhudi za Trump kutwaa Greenland?
Rais wa Marekani Donald Trump asema Marekani inapaswa kutwaa Greenland ili kuzuia Urusi na China kuchukua eneo linalosimamiwa na Denmark.
Jinsi roketi ya utafiti wa hali ya hewa ya Norway ilivyokaribia kusababisha vita vya nyuklia
Kwa mara ya kwanza katika historia, kiongozi wa taifa alilazimika kuamsha kile kilichojulikana kama kifaa cha nyuklia, mfumo maalumu wenye maagizo na teknolojia ya kuidhinisha shambulio la nyuklia.
Nini kimeibadilisha Man United na kupata matokeo ya kushangaza?
Ushindi wa Jumapili dhidi ya Arsenal ulikuwa ushindi na matokeo mengine ya kushangaza kwa Manchester United, walivutia kwa jinsi walivyoupata ushindi.
'Kikosi cha wauaji kilitumwa kuniangamiza' adai Gachagua
Watu waliodhaniwa kuwa polisi waliovalia kiraia walirusha mabomu ya machozi na kupiga risasi wakati Naibu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua alipofika kuhudhuria ibada.
Tetesi za soka Ulaya: Man City wanamtaka Trent Alexander-Arnold
Manchester City wanaendelea kumfuatilia Trent Alexander-Arnold huku Liverpool wamewasiliana na Xabi Alonso na kupata ishara njema kuhusu kujiunga nayo
Wanahabari wazuiwa kwenye vikao vya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Kutengwa kwa waandishi wa habari kunaashiria mabadiliko katika mbinu ya uchunguzi na kumezua maswali kuhusu uwazi.
Mke wa Bobi Wine aeleza mateso aliyoyapitia alipovamiwa nyumbani
Barbie Kyagulanyi ameeleza ‘mateso ‘ aliyoyapitia mikononi mwa watu anaodai ni maafisa wa usalama.
'Nusu ya marafiki zangu waliuawa' - wasichana wanaorejea katika shule iliyojikuta katikati ya vita
Pacha ambao wanafunzi wenzao waliiuawa katika shabulio la makombora wanasema vifo vyao vimewafanya waazimie kumaliza masomo yao.
Kombe la Dunia 2026: Sera za Trump zitaathiri mashindano hayo?
Marekani inatarajiwa kuandaa Kombe la Dunia na Olimpiki katika kipindi cha miaka miwili na nusu ijayo.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, ni kweli Marekani 'inaifadhili' Nato kwa asilimia 100?
Rais wa Marekani alitoa msururu wa madai yaliyopingwa, kuanzia hali ya Greenland hadi matumizi ya Nato.
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Maoni: Utawala wa kimabavu huporomoka polepole, lakini wa Iran haujafikia huko
Waandamanaji nchini Iran na wafuasi wao nje ya nchi wana matumaini kwamba utawala wa Kiislamu jijini Tehran uko katika hatua ya kuporomoka. Hilo ni kweli?
Sababu zilizofanya Somalia iwe na ghadhabu kali dhidi ya UAE
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Rais Trump ana lengo gani hasa na Iran?
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Uchaguzi Uganda 2026: Waganda wengi ni vijana – Watamchagua Mzee wa miaka 81?
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Kuolewa nikiwa na miaka 40: ''Hakuna kikomo cha umri wa kupata upendo wa kweli"
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu, na safari ya maisha," anashughulikia.
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































