BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani kudhibiti kijeshi bandari za Iran baada ya mazungumzo ya amani kutibuka
Iran inasema ''haitababaishwa na vitisho vya Marekani'' ikiongeza kuwa mazingumzo ya Islamabad yalifeli kutokana na ''Washington kubadili misimamo''.
Je, Trump atahatarisha wanajeshi wake kwa kufunga Mlango Bahari wa Hormuz?
Siku ya Jumapili, Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani ilitangaza kwamba kizuizi cha jeshi la majini kitazuia meli zote kutoka na kwenda bandari za Iran, tofauti na pendekezo la awali la Trump.
Ni kipi kitafuata baada ya mazungumzo ya amani ya Iran na Marekani kuvunjika?
Ikiwa historia ni mwongozo, mara ya mwisho Iran ilipofikia makubaliano ya nyuklia na Marekani na mataifa mengine yenye nguvu mwaka 2015, ilichukua miezi 18 ya maendeleo ya vipindi na kuvunjika mara kwa mara.
Papa atoa kipaumbele kwa Afrika ambako Ukatoliki unakuwa kwa kasi zaidi
Leo XIV anataka dunia ielekeze macho yake katika bara lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa Kanisa Katoliki, amesema msaidizi wake.
Kizuizi cha kijeshi ni nini na kitafanyaje kazi katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Katika chapisho lake kwenye Truth Social siku ya Jumapili, Rais wa Marekani Donald Trump alisema Marekani itaanza "kuzuia meli zote zinazoingia au kutoka, kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz.”
Ligi Kuu England: Man City imegundua udhaifu wa Arsenal katika mbio za ubingwa?
Huku Arsenal ikiyumba, City inazidi kuwa imara na, baada ya kusonga mbele kwa pointi sita kuwakaribia vinara hao, huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi, hali inaonekana kuwa mbaya kwa Arsenal.
'Wakuue au ujiue': Manusura waelezea eneo la genge la Mexico ambako mabaki ya binadamu yalipatikana
Ugunduzi wa mamia ya viatu na mali binafsi katika kambi ya uajiri na “uteketezaji” ya genge la Jalisco mwaka mmoja uliopita ulizua hofu nchini Mexico na duniani kote. BBC ilizungumza na Sandra Romandía, mwandishi wa habari aliyewahoji mashahidi mbalimbali waliokoka na kutoroka kambi hiyo.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Newcastle inamfukuzia Ugarte Man Utd
Newcastle wanamuwania Manuel Ugarte Manchester United, Tottenham na West Ham wanavutiwa na kiungo wa Barcelona na Liverpool wakabiliana na Chelsea kumnasa Eli Junior Kroupi.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Jinsi utamaduni unavyoendelea kuathiri wanawake Afrika
Duniani kote, mwanamke mmoja kati ya watatu atakumbana na ukatili wa kimwili au kijinsia katika maisha yake.
Mitazamo sita ya lishe ambayo hufai kuamini
Kuondoa vyakula vya wanga kunaweza kuchangia kupunguza uzito wa mwili, ila kwa mara nyingi huchangia kupoteza kiwango cha maji mwilini kuliko mafuta.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mpango wa kufuta uchaguzi wa urais unawaweka Wazimbabwe katika mvutano mkubwa
Chama tawala kimewasilisha muswada wa sheria ambao unawanyima wapiga kura nafasi ya kumchagua rais.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
Kutana na 'mmiliki' wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Sayansi ya anga: Je, dunia itaisha vipi na lini?
Abrom Zabot anaongeza kuwa baadhi ya makadirio yanazungumzia trilioni za miaka, huku mengine yakihusisha muda mrefu zaidi.
Kwa nini saa ina dakika 60, na sio 100?
Wanamapinduzi waliamua kuwa siku igawanywe katika saa 10 badala ya 24. Kila saa ingekuwa na dakika 100 za desimali, na kila dakika ingegawanywa katika sekunde 100.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 13 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 13 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 13 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































