BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Wanahabari wazuiwa kwenye vikao vya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Kutengwa kwa waandishi wa habari kunaashiria mabadiliko katika mbinu ya uchunguzi na kumezua maswali kuhusu uwazi.
Mke wa Bobi Wine aeleza mateso aliyoyapitia alipovamiwa nyumbani
Barbie Kyagulanyi ameeleza ‘mateso ‘ aliyoyapitia mikononi mwa watu anaodai ni maafisa wa usalama.
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Spurs inamfukuzia Robertson Liverpool
Tottenham na Liverpool zinajadili mkataba wa £5m kwa Andy Robertson, Bournemouth inakaribia kumsajili Christos Mandas kwa mkopo na Arsenal italazimika kutumia £80m kumsajili Julian Alvarez.
'Nusu ya marafiki zangu waliuawa' - wasichana wanaorejea katika shule iliyojikuta katikati ya vita
Pacha ambao wanafunzi wenzao waliiuawa katika shabulio la makombora wanasema vifo vyao vimewafanya waazimie kumaliza masomo yao.
Kombe la Dunia 2026: Sera za Trump zitaathiri mashindano hayo?
Marekani inatarajiwa kuandaa Kombe la Dunia na Olimpiki katika kipindi cha miaka miwili na nusu ijayo.
Ni sawa kukatiza uhusiano na wazazi wako?
Ugomvi kati ya wazazi na watoto wao si jambo la kushangaza - hivi ndivyo utafiti unasema linapokuja suala la kufanya uamuzi mgumu kama huo.
Wanawake wanavyorekodiwa kwa siri kwa ajili ya maudhui kuchapishwa TikTok
Baadhi ya 'Mainfluensa' Yaani watengeneza maudhui mitandanoni ambao wanatengeneza video kama hiyo, hupata hela kutoka kwa wateja wao ambao huwalipa kupata mafunzo kuhusu na mawaidha kuhusu jinsi ya kumtongoza mwanamke.
Marekani yaombwa kuangalia upya uhusiano na Uganda
Marekani imesema kwamba japo Uganda na Tanzania ni washirika wake wakuu hasa katika masuala ya usalama, uongozi wa Uganda hasa unasimamia nchi kwa kutumia nguvu dhidi ya wakosoaji wake wa kisiasa ndani ya nchi.
Athari za Trump kuiondoa Marekani katika shirika la Afya Duniani WHO
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Kwa nini Marekani ilitumia silaha ya 'sauti' huko Venezuela?
Madai ya kwamba "silaha ya kuzalisha sauti" isiyojulikana ilitumiwa nchini Venezuela yamezua uvumi kuhusu teknolojia ya kijeshi ya Marekani na madhara yake katika mwili wa binadamu.
Je, Man Utd ya 2008 ingefanikiwa kuichapa Arsenal ya 2026?
Labda Theo Walcott alitambua alichosema mara tu maneno yalipotoka kinywani mwake. Walcott alikuwa akizungumza na Wayne Rooney alipoonekana kuhoji kama timu ya Manchester United ya 2008 inaweza "kushindana" na Arsenal ya leo.
'Waliniburuza chini nilipowaambia siwezi tena kutembea'
Watu 160 yasemekana hawajulikani waliko baada ya washambuliaji kuvamia makanisa matatu katika kijiji cha Nigeria siku ya Jumapili.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba huenda likapasuka vibaya.
Aliwahi kuwakosoa viongozi wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka. Sasa ataongoza muhula wa saba
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Maoni: Utawala wa kimabavu huporomoka polepole, lakini wa Iran haujafikia huko
Waandamanaji nchini Iran na wafuasi wao nje ya nchi wana matumaini kwamba utawala wa Kiislamu jijini Tehran uko katika hatua ya kuporomoka. Hilo ni kweli?
Sababu zilizofanya Somalia iwe na ghadhabu kali dhidi ya UAE
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Rais Trump ana lengo gani hasa na Iran?
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Uchaguzi Uganda 2026: Waganda wengi ni vijana – Watamchagua Mzee wa miaka 81?
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Kuolewa nikiwa na miaka 40: ''Hakuna kikomo cha umri wa kupata upendo wa kweli"
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu, na safari ya maisha," anashughulikia.
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Sababu 5 za kutazama siku zijazo kwa matumaini
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 26 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 23 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 23 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































