BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Israel yasema imemuua Waziri wa Ujasusi wa Iran katika shambulizi la usiku kucha
"Jana usiku Waziri wa Ujasusi wa Iran Khatib pia aliuawa," Katz anasema katika taarifa.
Washirika wa Marekani na China wanasemaje kuhusu kutuma meli za kivita katika Mlango wa Bahari wa Hormuz?
"Hivi si vita vyetu, hatukuvianzisha"
Changamoto za kisiasa zinazomkabili Netanyahu nchini Israel
Kihistoria, imekuwa rahisi kuanzisha vita kuliko kuvimaliza.
Mkuu wa jeshi la Iran atishia kulipiza kisasi mauaji ya Larijani
Mkuu wa jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi "madhubuti" kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larijani katika shambulio la anga la Israel.
Kususa kwaiponza Senegal, CAF yaipa Morocco ubingwa wa AFCON 2025
Katika uamuzi wa kushangaza uliotolewa siku 58 baada ya mechi, bodi ya rufaa ya CAF imesema Senegal imekiuka kanuni na hivyo "inachukuliwa kuwa imepoteza mchezo huo kwa kufungwa 3-0," na kuipa Morocco ushindi pamoja na ubingwa.
Marekani kuishambulia Cuba?
Cuba imekuwa kwenye ajenda ya Trump kwa muda mrefu. Rais huyo wa Marekani mara nyingi amekuwa akisema kwamba wataishughulikia Cuba baada ya kufanikisha malengo yao Iran.
Kuuawa Ali Larijani: Mbunifu wa itikadi na usalama wa Iran
Bw. Larijani, ambaye aliuawa usiku akiwa na umri wa miaka sitini na minane, pamoja na mwanawe, Morteza, na watu wengine kadhaa, alikuwa mwanasiasa mkongwe na ishara muhimu ya nguvu za Iran baada ya mapinduzi.
Jinsi maji yanavyogeuka silaha ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran
Kadiri vita vinavyopanuka na kuhusisha nchi jirani za Ghuba, wachambuzi wengine wanabaini kuwa kuna rasilimali nyingine nyeti ambayo imekuwa ikilengwa: maji.
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal yamtaka Goretzka wa Bayern
Brighton wana hamu ya kukamilisha mkataba na Cologne kwa winga wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 19 Said el Mala baada ya mchezaji huyo kubadilisha mawakala
'Kigogo' Marekani ajiuzulu kupinga vita dhidi ya Iran
Katika barua yake ya kujiuzulu kwenda kwa Rais Donald Trump, Joe Kent anasema haungi mkono vita hiyo ambayo Marekani inashirikiana na Israel dhidi ya Iran akisema "Iran haikuwa tishio lolote la karibu letu".
Ligi ya Mabingwa Ulaya: Arsenal, PSG zatinga robo fainali, Chelsea, Man City nje
Arsenal , PSG, Real Madrid na Sporting Lison zimefuzu robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, zinasubiri kuona kama Liverpool, Barcelona zitafanikiwa kuzifuata leo
Je, vita vya Iran vitaweza kuiokoa bajeti ya Urusi?
Shirika la Bloomberg linatabiri kuwa ikiwa Mlango wa bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa kwa muda mrefu, bei ya mafuta inaweza kupanda na kufikia dolla 108.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kiongozi mkuu mpya wa Iran aapa kuendelea kuzuia kupita kwa meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz
Ujumbe huo kutoka kwa kiongozi mpya wa Iran Mojtaba Khamenei umesomwa na mtangazaji katika runinga ya taifa ya Iran.
Mashambulizi ya anga yasababisha 'mvua nyeusi' ambayo haijawahi kushuhudiwa Tehran, wanasayansi wanasema
Mashambulizi ya anga yame haribu takribani vituo vinne vya mafuta tangu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yalipoanza mwezi uliopita.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Kilichotokea katika nchi ambazo Marekani iliingilia kijeshi Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
Katika miongo ya hivi karibuni, Marekani imeingilia kijeshi katika nchi kadhaa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, wakati mwingine kama mhusika mkuu na nyakati zingine ambapo imekuwa na jukumu maalum zaidi.
Silaha zenye nguvu ambazo Marekani inatumia kushambulia Iran
Marekani imeishambulia Iran kwa kutumia droni za aina ya MQ 9 Reaper, ambazo zina uwezo wa kufanya uchunguzi pamoja na mashambulizi.
Wafahamu viongozi wakuu wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani ikishirikiana na Israel
Jeshi la Israel lilisema liliwauwa viongozi wakuu 40 wa jeshi la Iran
Chanzo cha uhasama kati ya Marekani na Cuba
Kutoka Washington, mpango mpya wa siri unaoitwa Operesheni Mongoose ulitekelezwa ili kufanikisha kile ambacho uvamizi wa Bay of Pigs ulishindwa kutimiza.
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Fahamu mfumo wa utawala wa Iran
Kiongozi wa kidini ndiye kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran na anadhibiti vyombo vyote vya usalama.
Sudan: Pande zinazozozana zina sababu ya kuendelea kupigana
Historia inaonyesha kwamba vita vyote vya Sudan vimekuwa vya muda mrefu na kudumu hadi miaka 20.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 18 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 18 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 18 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































