BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Lebanon yataka kufanya mazungumzo na Israel kumaliza mzozo wa Hezbollah
Rais Aoun apendekeza mpango kuelekea "usalama na utulivu wa kudumu", huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yakiendelea.
Jinsi Iran inavyotumia droni za bei nafuu kusababisha machafuko Mashariki ya Kati
Donald Trump alisema sekta ya makombora ya Iran "itaangamizwa kabisa" wakati Marekani ilipoanza kushambulia nchi hiyo Jumamosi - lakini hakutaja ndege zake zisizo na rubani.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Vita vya Israel, Marekani na Iran: Kwa nini Urusi haisaidii Iran?
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimeiweka Urusi katika hali isiyoeleweka akini Vladimir Putin alikosoa mauaji ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei.
Wairani wagawanyika kuhusu Mojtaba Khamenei madarakani
Huku umati wa watu wanaounga mkono utawala wa Iran ukisherehekea uteuzi wa Khamenei kama mrithi wa baba yake, wengine wanaamini kuwa hauonyeshi mabadiliko yoyote kuhusu Iran inavyotawaliwa.
Mkakati wa Iran wa kutumia makombora umebadilika vipi?
Vikwazo vya kimataifa vinaizuia Iran kununua silaha katika masoko ya kimataifa, na hii inahatarisha jeshi lake la anga.
Waandamanaji wazuia timu ya soka ya wanawake ya Iran waliopewa hifadhi Australia
Siku ya Jumatatu, Trump aliitaka Australia "itoe hifadhi" kwa timu ya mpira wa miguu ya wanawake. "Marekani itawachukua ikiwa hamtakubali," aliongeza.
Silaha zenye nguvu ambazo Marekani inatumia kushambulia Iran
Marekani imeishambulia Iran kwa kutumia droni za aina ya MQ 9 Reaper, ambazo zina uwezo wa kufanya uchunguzi pamoja na mashambulizi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Juve wanamtaka Spence wa Tottenham
Djed Spence wa Tottenham anatarajiwa kuichezea Juventus, Real Madrid yamweka Mauricio Pochettino kwenye orodha ya watakaowania nafasi ya ukocha, Liverpool yafikiria kumsajili winga wa Ufaransa Moussa Diaby.
Kwanini Ukraine inakataa kuziuzia nchi za Ghuba ndege zisizo na rubani ?
Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran.
Watanzania waliokuwa wamekwama Dubai warejea nyumbani
ATCL wanasema si kawaida wao kutuma ndege kubwa Dubai lakini kutokana uhitaji mkubwa imebidi wao kufanya hivyo.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, vita baina ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni halali?
Muda mfupi baada ya Marekani na Israeli kuanza kuishambulia Iran mnamo Februari 28, Rais Donald Trump aliishutumu Tehran kwa kujenga silaha za nyuklia ambazo zinatishia washirika wa Marekani na zinaweza "kufikia nchi ya Marekani hivi karibuni".
Mauaji ya Ayatollah Khamenei: Jinsi Afrika inavyojibu kwa tahadhari, ukosoaji na huzuni
Serikali, vikundi vya kidini, na viongozi wa kijamii wamejibu kwa njia tofauti, wakionyesha uhusiano wa kidini na kisiasa wa muda mrefu kati ya Afrika na Iran.
Jinsi vita vya Iran vinavyoathiri mahujaji wanaokwenda Umrah
Mamilioni ya waumini wa kiislamu hushiriki Umrah nchini Saudi Arabia katika mwezi wa Ramadhan.
Kwa nini viongozi wa Ulaya wameshindwa kuzungumza kwa sauti moja kuhusu Iran?
Waziri mkuu wa Italia, kwa upande wake, hajajihusisha na mashambulizi yanayoendelea Iran.
Wafahamu viongozi wakuu wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani ikishirikiana na Israel
Jeshi la Israel lilisema liliwauwa viongozi wakuu 40 wa jeshi la Iran
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Wanawake waliopigana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe hawataki kuona vita vingine tena
Wanawake wapiganaji wanakumbuka jinsi mgogoro katika eneo la kaskazini la Tigray ulivyoharibu maisha yao, huku hofu ikiongezeka kwamba mapigano yanaweza kuanza tena.
Kwanini Wakurdi wanataka kujiunga na vita vya Marekani dhidi ya Iran?
Marekani inafaa kupiga marufuku usafiri wa anga ili kuwalinda wapiganaji wa Kikurdi.
Fahamu mfumo wa utawala wa Iran
Kiongozi wa kidini ndiye kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran na anadhibiti vyombo vyote vya usalama.
Sudan: Pande zinazozozana zina sababu ya kuendelea kupigana
Historia inaonyesha kwamba vita vyote vya Sudan vimekuwa vya muda mrefu na kudumu hadi miaka 20.
Kwa nini unapaswa kufungua kwa kula tende wakati wa Ramadhan?
Sukari inayopatikana kwa tende husaidia kuongeza viwango ya sukari mwilini kwa haraka ikilinganishwa na vyakula vingine ambavyo huchukua muda kumengenywa.
Pablo Escobar hadi "El Mencho": Je, enzi ya viongozi wa magenge ya dawa za kulevya imekwisha?
Kwa miongo kadhaa, Amerika Kusini imeshuhudia mapambano kati ya mamlaka za ndani na viongozi wa magenge ya biashara ya dawa za kulevya, viongozi wa magenge ambao wamejulikana kwa majina na sura zao na wamekuwa wakikimbia kwa miaka mingi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 11 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































