Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, ‘Meli iliyokamatwa na Cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar’
Msigwa amesema kwasababu imevunja taratibu, serikali ya Zanzibar tayari imekwishaanza kuchukua hatua na baadaye watatoa taarifa rasmi.
Kwanini mzozo wa Tigray nchini Ethiopia unaweza kuwa mbaya zaidi mara hii
Hofu ya kurejea kwa vita kaskazini mwa Ethiopia inawafanya watu wengi kuondoka katika eneo la Tigray zaidi ya miaka mitatu baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika.
Picha za maficho ya kifahari ambapo "El Mencho" alitumia saa zake za mwisho kabla ya kuuawa na Jeshi la Mexico
Katika saa zake za mwisho akiwa hai, Nemesio Oseguera Cervantes, kiongozi wa Jalisco New Generation Cartel (CJNG) anayejulikana kama "El Mencho", alikuwa kwenye jumba la kifahari katika eneo maarufu la watalii katika jimbo la Jalisco.
Wanajeshi wa Urusi waliiambia BBC: 'Tulishuhudia wenzetu wakiuawa kwa amri ya makamanda wetu'
"Ni mateso tu, kila siku, bila hisia zozote usoni mwao. Ni kama wazimu," alisema Dima akiwaonyesha waliomtesa.
Kwanini Putin aliivamia Ukraine?
Putin kwa muda mrefu amekuwa akitaka kumuondoa rais wa Ukraine anayeegemea upande wa magharibi, na Zelensky amekuwa akilengwa tangu kuanza kwa vita hivyo.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Hatima ya mkataba wa Kobbie Mainoo Man United haijuikani
Hatima ya mkataba wa Kobi Mainoo Man United haijulikani, Mohamed Salah angefurahi kusalia Liverpool hadi 2027, huku Casemiro akitaka kuendelea kucheza Ulaya.
Tanzania yatoa tahadhari ya mafua makali, Uviko -19
Taarifa hiyo iliyotolewa na mganga mkuu wa serikali Dk. Grace Magembe imetokana na kufuatilia mwenendo wa magonjwa ya mlipuko.
Papa Leo kufanya ziara ya kwanza barani Afrika - Vatican
Barani Afrika, Papa Leo atazuru Algeria, Angola, Equatorial Guinea na Cameroon.
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
Dhahabu na mafuta zinavyochochea vita Sudan
Mashambulizi makali katika eneo la Kordofan yamesababisha vifo vya watu wengi huku amani ikiendelea kuwa vigumu kupatikana.
Magonjwa 5 unayoweza kuambukizwa wakati wa kusuka au kunyoa nywele
Wakati mwingi watu huwa na wasiwasi kuhusu mtindo na urembo wataopata baada ya kunyoa, bila ya kujali vifaa vitakavyotumika.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Iran kutuma nusu ya hifadhi yake ya Urani nje ya taifa hilo na kuyeyusha iliyosalia- Reuters
Ingawa Iran inasema wamepiga hatua katika mazungumzo, Marekani imekuwa ikiongeza nguvu zake za kijeshi Mashariki ya kati kwa kutuma meli na ndege za kivita.
Kwa nini unapaswa kufungua kwa kula tende wakati wa Ramadhan?
Sukari inayopatikana kwa tende husaidia kuongeza viwango ya sukari mwilini kwa haraka ikilinganishwa na vyakula vingine ambavyo huchukua muda kumengenywa.
Ni kwa kiwango gani China na Urusi zitasaidia Tehran iwapo mzozo utazuka kati ya Iran na Marekani?
"Inaonekana kuwa hivi sasa, lengo kuu la China na Urusi ni kutuma ujumbe wa kuzuia Marekani kutopanua zaidi uwepo wake na kuhamasisha vikosi katika eneo", mtaalam Yulia Roknifard anasema.
Tamu na chungu ya maridhiano Tanzania
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani?
Kwaresima: Kwa nini kipindi hiki 'takatifu' ni cha kipekee kwa Wakristo duniani?
Kufunga kwa wakatoliki hujikita sana kwa maisha ya kiroho na huruma ya mtu, kwa hivyo wakati wa kufunga si kubadilisha tu lishe,bali tabia na mienendo ya mtu.
Mataifa ambayo muda wa kufunga Ramadhan utakuwa mrefu zaidi 2026
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
Jinsi silaha za kisasa zilivyobadili mwenendo wa vita vya Ukraine
Ndege zisizo na rubani na silaha nyingine za kisasa zimekuwa zikitumika kwa wingi zaidi kadiri vita vinavyoendelea.
Andrew: Unachohitaji kujua kuhusu kuanguka kwa Mwanamfalme wa zamani
Andrew Mountbatten-Windsor amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 66 akiwa ndani ya seli ya polisi akiwa na “kitanda na choo tu”, ni nini kilichosababisha kuanguka kwa heshima ya mwanamfalme wa zamani na shujaa wa Vita vya Falklands?
Kijiji ambacho kuoana mkiwa dini tofauti ni kifo
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi.
Kutana na wanawake wanaolinda chui porini
Wanawake mashujaa wanakabiliana na baridi kali ili kuhesabu na kuhifadhi mnyama wa porini ambaye awali alikuwa unachukuliwa kama tishio katika vijiji vyao.
Mambo 4 yaliyobadilika Venezuela tangu Maduro kuondolewa madarakani
Maduro na Flores wanasubiri katika seli zao katika Kituo cha Magereza cha Metropolitan huko Brooklyn (MDC), Machi 17, tarehe ya kufikishwa kwao mbele ya mahakama ya shirikisho.
Zawadi za mashada ya maua ya pesa taslim zinazungumziwaje?
Wafanyabiashara hujipatia pesa haraka, wakiuza maua ambayo ndio tu yametoka mashambani, hasa ukizingatia kuwa Kenya ni mojawapo ya wazalishaji wakuu wa maua duniani.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Februari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Februari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani