Wataalamu: Kubadilisha wakati wa kula kutakufaa kiafya
Wanasayansi wanaamini kwamba kula chakula βkingiβ mapema kwenye siku kunaweza kuwa na manufaa kwa mwili.
Kubadilisha wakati ambao mtu hula kunaweza kumsaidia kupunguza uzani na pia kuboresha mtindo wa kulala, hasa kwa wanaofanya kazi kwa zamu ambao wakati mwingine hulazimika kufanya kazi usiku.