Shambulio la Christchurch: ‘Sitawahi kuwasamehe waliomshambulia binti yangu’

Maelezo ya video, Shambulio la Christchurch: ‘Sitawahi kuwasamehe waliomshambulia binti yangu’

Mwaka mmoja baada ya shambulio la New Zealand dhidi ya msikiti wa Christchurch familia nyingi bado zinaendelea kurejelea hali ya kawaida. Watu 51 waliuawa baada ya watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki kumiminia risasi misikiti ya Al Noor na Linwood wakati was ala ya Ijumaa Machi 15, 2019.