Coronavirus: Bobi Wine ahamasisha Umma kuhusu virusi vya corona
Mwanamuziki na mbunge wa Uganda Kyangulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine amezindua wimbo mpya kwa jina 'coronavirus Alert' ili kuwahamasisha umma wanapokabiliana na janga hili la kimataifa.
Katika wimbo huu amemshirikisha Nubian Li.